Swahili

kwa wanachama na marafiki wa Stepping Stone4 mnakaribishwa katika ukurasa huu wa kiswahili.

Salam za kiswahili- Swahili greetings

Habari-  Hi

Nzuri- Good

Hujambo?- How are you?

Sijambo- I am ok

Hatujambo- We are OK/ we are fine

Unakaribishwa- you are welcome

Mnakaribishwa – plural –   you are welcome

Kwaheri- bye bye

Kila la kheri- All the best

 

Miradi yetu  inahusu

Kuhamasisha uzuiaji  wa saratani  ya kizazi, mapafu, utumbo mkubwa na matiti.

kuhamasisha uzuiaji wa maambukizi ya virusi vya ukimwi

kuelimisha jamii kuhusu huduma mbali mbali za afya, elimu na ajira zinazopatikana  kwenye serikali za mitaa, kata, wilaya, mkoa, kitaifa na kimataifa

Kuhamasisha jamii kujua haki zao za huduma za jamii na za kisheria

Na pia tunao washauri wa maeneo tofauti ya afya ya binadamu

Tuna julisha  jamii kuhusu huduma za kuwasaidia kwa matatizo yao mbali mbali ya kisheria.

 

Kujiunga au kupata msaada tuandikie barua pepe katika anuani tajwa

stepstone4@gmail.com

kwa mawasiliano zaidi, wasiliana nasi kwa  simu nambari: 02037849267 kwa wapigaji

wa nje ya Uingereza anza na +44 37849267

Halafu unaweza kutufuatilia katika ukurasa wetu wa Facebook

            Wote mankaribishwa